RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
Ha ha ha ha. Kwanza samahani,then usipende kukera watu. Ni kweli niliku ignore kabisa kile kitufe cha ignore. But always yaliyopita si ndwele.
Back to the question.
Naweza kiswahili,kiingereza,kifaransa na kirusi but sio competent.
Naamka saa mbili,then Naenda kusambaza biashara zangu,saa kumi na moja narudi home.
UtakimbiaNa mimi nataka intaviyuu jomoni!
Sure,wamenisaidia sana sana I can't mention. Lakini Hata hii biashara ninayoifanya mama angu ndio ilikuwa anaifanya before sijafanya analysis na kugundua inalipa then nikajitosa mazimaMaserati : Nini mchango wa watu wako wa karibu katika maisha yako, wana mchango wowote katika kukuvusha hatua nyingine ya juu zaidi kimaisha.?
100% yes,sijaajiliwa tho. Nime graduate last year,nimejiajiri
Mmh. Hii Ngumu kumeza,hapana siwezi.
Duh!!![emoji24] [emoji24] [emoji24] umenikumbusha mbali,when I was about to join university,ikafika kipindi nikasema basi sitaweza kuendelea kusoma. But I made it,nimemaliza kusoma mwaka Jana and nikapata bachelor degree yanguMaserati ni changamoto ipi kubwa ulikotana nayo maishani ambayo haitokaa isahaulike katika kumbukumbu za kichwa chako.?
Yameniumiza tu hakuna lililonifurahisha,Kuban mikutano ya Siasa kwa vyama pinzani
Huo ni mtazamo wake,kila mmoja wetu anao wake tofauti na mwenzieUnajielewa hlf upo chadema khaaaaa maajabu nilijua wanaojielewa hwn vyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Warudi shuleni,
Kwa sababu sio kila mjamzito basi ametaka awe Hivyo wengine wamebakwa.
Hapana,sheria kali zihusika kubaini wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi katika umri mdogo na waathibiwe. Pia wapo wazazi wanao waozesha watoto wao katika umri mdogo Hapo nao pia sheria Kali ichukue mkondo wake.Huoni huko ni kuhamasisha ngono mashuleni?
Unaamini kuna elimu Bure???Hata la elimu bure hulipendi, makinikia je.?
Bado sijawahi kuonaKwa nini? Hujawahi ona kijana mdogo kwa umri ana mawazo mapana kuliko mzee?
Mimi pia ni muhanga wa hilo,sina la kusema kwa sababu unaweza mwambia mtu ajiajiri,lakini tatizo la kujiajiri ni mitaji. Kuna watu wanasema wazo lako ndio mtaji wako mi nakataa mbinguni na dunianiUnawaambiaje vijana wanaolilia ajira, wanaishi kwa wazazi hadi leo kisa hawana ajira.?
Itabidi nimfanyie Mimi huyoUtakimbia
[emoji24] [emoji24] tumefiwa wanajukwaa we hujui? Ila marehemu simjui naniMsiba wa nani shoga angu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nikijibu hili ndugu zangu watanijua kabisa hasa ukizingatia najua id zao hawaijui ya kwangu...Unafanya biashara gani, social media ni moja ya market pana sana, unaitumiaje kuuza bidhaa zako.? Cjawai ona ututangazie bidhaa zako humu.