Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Ha ha ha ha. Kwanza samahani,then usipende kukera watu. Ni kweli niliku ignore kabisa kile kitufe cha ignore. But always yaliyopita si ndwele.

Back to the question.
Naweza kiswahili,kiingereza,kifaransa na kirusi but sio competent.

Malizia swali, zinakusaidia vipi katika harakati za maisha.?
 
Naamka saa mbili,then Naenda kusambaza biashara zangu,saa kumi na moja narudi home.

Unafanya biashara gani, social media ni moja ya market pana sana, unaitumiaje kuuza bidhaa zako.? Cjawai ona ututangazie bidhaa zako humu.
 
Maserati : Nini mchango wa watu wako wa karibu katika maisha yako, wana mchango wowote katika kukuvusha hatua nyingine ya juu zaidi kimaisha.?
Sure,wamenisaidia sana sana I can't mention. Lakini Hata hii biashara ninayoifanya mama angu ndio ilikuwa anaifanya before sijafanya analysis na kugundua inalipa then nikajitosa mazima
 
Maserati ni changamoto ipi kubwa ulikotana nayo maishani ambayo haitokaa isahaulike katika kumbukumbu za kichwa chako.?
Duh!!![emoji24] [emoji24] [emoji24] umenikumbusha mbali,when I was about to join university,ikafika kipindi nikasema basi sitaweza kuendelea kusoma. But I made it,nimemaliza kusoma mwaka Jana and nikapata bachelor degree yangu
 
Huoni huko ni kuhamasisha ngono mashuleni?
Hapana,sheria kali zihusika kubaini wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi katika umri mdogo na waathibiwe. Pia wapo wazazi wanao waozesha watoto wao katika umri mdogo Hapo nao pia sheria Kali ichukue mkondo wake.
 
Hata la elimu bure hulipendi, makinikia je.?
Unaamini kuna elimu Bure???
Hayo makinikia nikikuuliza updates ya hiyo kamati utanijibu nini??

Mimi kuhusu makinikia Naona ni drama tu,kwa sababu end of the day hatutafaidika na lolote. Wanaacha kuzuia zao wenyewe wanazuia last waste ha zao!!haiwezi kusaidia kabisa
 
Unawaambiaje vijana wanaolilia ajira, wanaishi kwa wazazi hadi leo kisa hawana ajira.?
Mimi pia ni muhanga wa hilo,sina la kusema kwa sababu unaweza mwambia mtu ajiajiri,lakini tatizo la kujiajiri ni mitaji. Kuna watu wanasema wazo lako ndio mtaji wako mi nakataa mbinguni na duniani
 
Unafanya biashara gani, social media ni moja ya market pana sana, unaitumiaje kuuza bidhaa zako.? Cjawai ona ututangazie bidhaa zako humu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nikijibu hili ndugu zangu watanijua kabisa hasa ukizingatia najua id zao hawaijui ya kwangu...

Social media ni platform nzuri kibiashara,Mimi Instagram na Facebook Ndizo ninazo zitumia na zinanisaidia sana.
 
Back
Top Bottom