Mrembo maserati interview! Live

Mimi pia ni muhanga wa hilo,sina la kusema kwa sababu unaweza mwambia mtu ajiajiri,lakini tatizo la kujiajiri ni mitaji. Kuna watu wanasema wazo lako ndio mtaji wako mi nakataa mbinguni na duniani


Niianza biashara nikiwa na 0 in my pocket and now am trending. Hadi hapo huja qualify kwa enterpreneurship, go back to schul
 
Unatushauri nini tunaojua vernacular na kiswahili tu.? Kma simbu kaaibika hata kujibu swali kashindwa huko mbele
Hiyo sio tija,as long as umefanikiwa. Wazungu hawawezi kiswahili it spent mean ni washamba,no.
But ukianza international thing lazima ujue Hata kiingeleza
 
Wape ushauri vijana wanaotaka kujilipua mamtoni, kuacha chuo, kuacha kazi for the sake of business
 
Kwa amtazamo wako malezi yanasaidia kwa namna gani watoto wenye future za kua wafanyabiashara.?
 
Maserati : Wape ushauri vijana wanaotaka kujilipua mamtoni, kuacha chuo, kuacha kazi for the sake of business
There is part of me which believe in lucky. Since kijana sio teenager analoona nzuri afate mbaya aliache,lakini elimu ina play part yake katika maisha yetu.
 
Umesemea " wazungu " lkn kama mtu kaamua kuchukua career kama yako uoni kwamba ni muhimu sana kujua lugha zaidi ya moja kama CEO.
Hiyo sio tija,as long as umefanikiwa. Wazungu hawawezi kiswahili it spent mean ni washamba,no.
But ukianza international thing lazima ujue Hata kiingeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…