Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Ooh. Sikuona,bado hazija nisaidia mpaka sasaMalizia swali, zinakusaidia vipi katika harakati za maisha.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh. Sikuona,bado hazija nisaidia mpaka sasaMalizia swali, zinakusaidia vipi katika harakati za maisha.?
Mimi pia ni muhanga wa hilo,sina la kusema kwa sababu unaweza mwambia mtu ajiajiri,lakini tatizo la kujiajiri ni mitaji. Kuna watu wanasema wazo lako ndio mtaji wako mi nakataa mbinguni na duniani
Ooh. Sikuona,bado hazija nisaidia mpaka sasa
Ulianzaje??? NiambieNiianza biashara nikiwa na 0 in my pocket and now am trending. Hadi hapo huja qualify kwa enterpreneurship, go back to schul
Hiyo sio tija,as long as umefanikiwa. Wazungu hawawezi kiswahili it spent mean ni washamba,no.Unatushauri nini tunaojua vernacular na kiswahili tu.? Kma simbu kaaibika hata kujibu swali kashindwa huko mbele
Niliona nikapita kutoa RIP. Yule alitoka mvalisha Pete mchumba wake??[emoji24] [emoji24] tumefiwa wanajukwaa we hujui? Ila marehemu simjui nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha. No[emoji2] [emoji2]Yu gotta try them lady, hutojutia.
Ulianzaje??? Niambie
There is part of me which believe in lucky. Since kijana sio teenager analoona nzuri afate mbaya aliache,lakini elimu ina play part yake katika maisha yetu.Maserati : Wape ushauri vijana wanaotaka kujilipua mamtoni, kuacha chuo, kuacha kazi for the sake of business
AtakukimbiaItabidi nimfanyie Mimi huyo
Kwa kweli inategemea na akili ya mtu,wengine wazazi wao are very wealth and rich lakini wakiachiwa kitu kinafail and the vice versa.Kwa amtazamo wako malezi yanasaidia kwa namna gani watoto wenye future za kua wafanyabiashara.?
Hiyo sio tija,as long as umefanikiwa. Wazungu hawawezi kiswahili it spent mean ni washamba,no.
But ukianza international thing lazima ujue Hata kiingeleza
Yes sure,that's why I mention international thingUmesemea " wazungu " lkn kama mtu kaamua kuchukua career kama yako uoni kwamba ni muhimu sana kujua lugha zaidi ya moja kama CEO.
Wewe Ndio utamkimbiza kakaAtakukimbia