DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We uliza tu. Kama kuna njia si nitakimbilia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahaha usije kimbia
Hapana sijamanisha hiloSasa mbon hujiamin hutak kutangaz biashar yako au unatuzarau wateja wa jf
Sent from my Android phone
Poa poaMake fasta tuunganishane
Hata Mimi roho imenistuka. Maskini namfikiria Dada wa watu
Uliyavuka haya maswali
Kuna Details nimezitoa. Basi nichagulie wewe ifm,ud,cbe chochote hapo we Nipe tu nitakubaliSio kwel kwa mfano ukisema nimesoma CBE, UD au IFM hamn kitakachoharibika coz hujaweka picha na jna lako halis
Sent from my Android phone
unamaanisha lipHapana sijamanisha hilo
Hapana mkuu hiyo mambo kanisa imekataza
Unanifurahisha tuMbona wacheka?
hvyo nmetoa kama mfano, siwezi kujua chuo ulchosoma ndomaana nkakuulza swal ww mhusika ujibuKuna Details nimezitoa. Basi nichagulie wewe ifm,ud,cbe chochote hapo we Nipe tu nitakubali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maserati sio mpole lakini mstaarabu,mcheshi anaependa matani,mjasiliamali na ni miongoni mwa wanawake wasomi katika karne hii.
Aisee hii unialike i love it unifundishe tuSwimming
Really?Aisee hii unialike i love it unifundishe tu
hehheee reason ya kukimbiwa b/keepingWala Usijaki,kukosolewa ni part ya maisha.
Pesa ni liquid asset tho bro...
Sijakuelewa una maanisha nini mkuu?hehheee reason ya kukimbiwa b/keeping