Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Ni liability gani katika maisha yako which you can't wait to have them no matter how costly they might be.
Liability??? Hili Swali sijalielewa kuendana na uelewa wangu..liability?? Hebu nidadavulie hili Swali
 
Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we bachelor au umeoa?? Tuanzie hapo
Nimeoa na nina heshimu ndoa yngu sababu nilihangaika sn mpk kuoa,so nipenda na nailinda sana,just emagine ss hiv namsaidia wife kupika yy ananyoosh nguo za job kesho[emoji23][emoji23][emoji56][emoji56] kuna upendo kam huo kwel jaman swaiba wa series??
 
Sawa,wewe ni mteja wangu. Mkeo atakupikia bidhaa yangu.
 
Back
Top Bottom