Mrembo maserati interview! Live

umesema wewe ni mjasiliamali right??? naomba unitajie challenge unazoziface ili na mimi kama mjasiliamali mdogo pia nijifunze kitu kutoka kwako...

I BLNG 2 JESUS CHRST
1.Kwanza product husika unayoiuza,ya kwangu kuna baadhi ya watu hawaifahamu.
2. Usumbufu kwa watu,wengi wa Wateja wangu wanachukua bidhaa kwa mkopo,kwenye kulipana aisee ni ishu.
3. Usafirishaji na ushuru,ninakochukulia mzigo hawana utaratibu wa kutoa risiti ukifika Huku dar sasa,askari barabarani wanataka karatasi za ushuru.
 
Nishalijibu hili mkuu. Tumsamehe kwa hilo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
We mnafiki sana we lijamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena toa hiyo avatar unaidhalilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ubaguz nimeshakujua ww ni mbaguz unachagua watu wako mnaojuana kuwajib maswal...kila la heri

Sent from my Android phone
Maserati mjibu mtoto wa watu afurahi basi.
Anaona kama umembagua na unachagua watu wa
Kuwajibu.

Japo sijui ulichoulizwA.
But mtoa mada mbona maserati sio mbguzi. Inategemea swali gani umemuuliza. Kama umemuuliza kam string ya rangi gani am npenda lingerie unategemea upewe jibu gani?
 
Ananikomalia niseme chuo gani na coz gani,nimemtajia coz nkamwambia siwezi kutaja chuo mitaji expose kwa ndugu zangu waliomo humu,Ndio kafikia huko. Muache alalamike,since haniongezei Wala kunipunguzia kitu
mambo ya chuo nmeyapotezea na nmeomba page ya fb/insta tuone vp tukusupport kwny biznezz yako ila unakaza.ila yameisha kila la her nmejfunza kitu kuptia wew endelea kuwa na moyo huouo

Sent from my Android phone
 
La chuo amekataa nmemuulza page yke ya fb/insta nione kama naweza kumsapoti kwny biashar nalo amekaza...muach ana wat wake special wa kuwajib wengin sis na makapuku mzee kwa mfano hapo juu kuna mteja anajuana nae na inaelekea biznezz wanafany ila mm kuomba page ya fb/insta imekuwa ktuko..ndo maisha hya mkuu WABAGUZI na WAPENDELEAJI wapo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…