Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
1.Kwanza product husika unayoiuza,ya kwangu kuna baadhi ya watu hawaifahamu.umesema wewe ni mjasiliamali right??? naomba unitajie challenge unazoziface ili na mimi kama mjasiliamali mdogo pia nijifunze kitu kutoka kwako...
I BLNG 2 JESUS CHRST
2. Usumbufu kwa watu,wengi wa Wateja wangu wanachukua bidhaa kwa mkopo,kwenye kulipana aisee ni ishu.
3. Usafirishaji na ushuru,ninakochukulia mzigo hawana utaratibu wa kutoa risiti ukifika Huku dar sasa,askari barabarani wanataka karatasi za ushuru.