Mrembo maserati interview! Live

mambo ya chuo nmeyapotezea na nmeomba page ya fb/insta tuone vp tukusupport kwny biznezz yako ila unakaza.ila yameisha kila la her nmejfunza kitu kuptia wew endelea kuwa na moyo huouo

Sent from my Android phone

Siwezi kukutajia page yangu,kama ningekuwa nataka si ningeandika jina langu la kweli instead of hili fake one. We mbona hujaandika jina lako na hujaweka Picha zako.
Mfano xav bero simjui hanijui lakini kanifata pm nimemuambia. Sio lazima ununue au ujue biashara yangu. We vipi mzee bab?????? Or else you want something else....

Better mind you own business and leave with mine.
Dume zima unalalamika lalamika,unalia lia hovyo,tusipimane uvumilivu buana weeeee
 
Ninachoweza kukushauri tu,usijifanye unanijua sana au ukataka sana kunijua,since we are behind the truth about who we really are . That's all and take chill pills
 
duuu...
 
Fanyeni kazi acheni interview za kisen****e zisizokuwa na tija! Hivi hamjawahi kujiuliza mtajakuwa mababu na mabibi wa namna gani hapo baadae? Kila siku mnawaza utumbo tu afu mnalia lia hali ngumu! Acheni uku*****a!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…