Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
mambo ya chuo nmeyapotezea na nmeomba page ya fb/insta tuone vp tukusupport kwny biznezz yako ila unakaza.ila yameisha kila la her nmejfunza kitu kuptia wew endelea kuwa na moyo huouo
Sent from my Android phone
Siwezi kukutajia page yangu,kama ningekuwa nataka si ningeandika jina langu la kweli instead of hili fake one. We mbona hujaandika jina lako na hujaweka Picha zako.
Mfano xav bero simjui hanijui lakini kanifata pm nimemuambia. Sio lazima ununue au ujue biashara yangu. We vipi mzee bab?????? Or else you want something else....
Better mind you own business and leave with mine.
Dume zima unalalamika lalamika,unalia lia hovyo,tusipimane uvumilivu buana weeeee