Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

umesema wewe ni mjasiliamali right??? naomba unitajie challenge unazoziface ili na mimi kama mjasiliamali mdogo pia nijifunze kitu kutoka kwako...

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Jitu zima unapewa chance ya kumu-interview mtu mzima, unaacha kuuliza maswali ya ki utu uzima unauliza yale ya kitoto..

"Unapendelea chakula gani" so whaaaaaaat!!! Swali la kipuuzi kabisa..

Tuendelee......

Umesema wewe ni mmojawapo wa vijana wasomi katika taifa hili, nataka kujua elimu yako....

Ni hilo tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom