Mrembo mwenye umbo matata 'Posh Queen' asema hataki kuajiriwa ili awe free na umbo lake

Mafisi wapo kila kona

Akiwakimbia kibaruani atawapata kwenye biashara na shughuli nyingine

Kuna mafisi ma supplier wa malighafi (raw materials)

Kuna mafisi Wanunuzi wa bidhaa (soko)

Kuna mafisi Wakusanya kodi

Kuna mafisi wakagua na wadhibiti ubora wa bidhaa

Hivyo popote atakapokuwa ajipange

Lakini kubwa ninaloliona yeye mwenyewe anajiweka katika mazingira ya kukaribisha mafisi
 
Ebu muulize atakua anafanyia iyo "biashara" viwanja gana ili na mm cku nkija daslaaam npate iyo "bidhaa"?
 
Hivi urembo unaozungumzia hapa ni upi?
Tako kubwa ndo kipimo chako cha urembo!!?
Sijaona mrembo hapo, naona msichana "aliyejibinua makalio" mwenye kijitako fulani cha kawaida sana.
Nyie mnaowapa "Airtime" hawa dada zetu ndo mnawafanya wazidi kufanya upumbavu wao.
 
Huu upuuzi wa kuandika kuhusu madada wa chuo umekua siku hizi. Wengine nahisi huleta humu picha za wahusika bila idhini
 


Posh mwenye mzigo wa maana nyuma.?? >>>>>chines made
 
Ebu muulize atakua anafanyia iyo "biashara" viwanja gana ili na mm cku nkija daslaaam npate iyo "bidhaa"?
Online ili msimuone, kama kweli ana nia ya kutokusumbuliwa.
 
Mjomba hata kama mimi sio muumini wa makalio ,huyo mtoto tako analo aisee sifa yake apewe
 
People are obsessed with this ugly booty. Utamu wa ku** sio tako.
 

mtaji tosha tu kama yeye
 
Huyu demu mnampa kiki kinoma yn.........tangu jana naona nyuzi zake.....najua anachunguliaga kidgo humu.....atakua anafarijika sana kuona trending yake..

Unaleta mada tujadili kutotaka kwake kuajiriwa!!!??? Aaarrggghhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…