Mrembo mwenye umbo matata 'Posh Queen' asema hataki kuajiriwa ili awe free na umbo lake

Umenena vyema sana Kaka.
 
Kabisa Kaka na kujawa aina ya viburi chungunzima.
 
Posh mwenye mzigo wa maana nyuma.?? >>>>>chines made
Aisee hawa wachina usipofatilia historical background ya binti yeyote kwa kukutana naye tu mahali na ukaanza kumtongoza itakula kwako, maana sasa hivi karibia 95.9% mabinti wote wana makalio makubwa
 
Siku zote akili za watu wa namna hiyo huwa zipo katika makalio yao.
 
Apewe uDG wa SSRA ku-cover nafasi yq Irene Isaka CV yake ya Risk management inawafaa wastaafu na waliopoteza ajira
 
Ili dangaji mbona linakuja kasi sana? Au limekosa soko linajipa promo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…