B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Umekasirishwa? Na maoni yake!!!Manina zake[emoji57][emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekasirishwa? Na maoni yake!!!Manina zake[emoji57][emoji57]
Mfyuuu zake..kujidai tu.
🤣🤣🤣🤣Hata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
Ulikuwa huendagi Coco kula mihogo?Hata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
😂😂😂 Mafahari wawili sidhani Kama wangeweza ishi zizi moja Hawa😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]nimepata picha angekuwa mke wa kidukulilo sijui wangeendana
😅Umeandika nini we kilaza?mimi ndiwo sijui kusoma au!!!.. naona kama umeongoza lako kwa Tanga hapwo.. unakimbilia wapi hukumsoma vizuri?
Hahahah! Mbea wa dunia nakuona.Yan mbwa huuy nataman kumpiga makofi mxieew na angekua na hayo maisha mazuri Sijui ingekuaje fala huyu