B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Umekasirishwa? Na maoni yake!!!Manina zake[emoji57][emoji57]
Mfyuuu zake..kujidai tu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
Ulikuwa huendagi Coco kula mihogo?Hata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
๐๐๐ Mafahari wawili sidhani Kama wangeweza ishi zizi moja Hawa๐๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23]nimepata picha angekuwa mke wa kidukulilo sijui wangeendana
๐ Umeandika nini we kilaza?mimi ndiwo sijui kusoma au!!!.. naona kama umeongoza lako kwa Tanga hapwo.. unakimbilia wapi hukumsoma vizuri?
Hahahah! Mbea wa dunia nakuona.Yan mbwa huuy nataman kumpiga makofi mxieew na angekua na hayo maisha mazuri Sijui ingekuaje fala huyu