Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
msitutoe kwenye bandari, rudisheni pesa za mwarabuSource: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala.
Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa Sasa hana tena uhusiano e kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.
Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
wameamua kuja na Nargis muhamedi kuziba bandari, kweli Tanganyika inauzwa na Mzanzibar? dah inachosha sanaBandari ndio inaenda hivyo
Mpuuzi sana yeye kashakula utamu weeee baada ya hapo ndio anatuambia kujilisha upepo🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.
Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?
Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" 😅
Magic house na Kanumba.Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Ishu kama hiyo unaileta jamiiforoums kweli tuwe sirious