Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ukinipeleka nipeleke na Lee wangu peke yangu siwezi kwenda ujue
Lee muache bhana.
msalimie akitia maguu hapa ataweka mnuno tena[emoji28]
 
Mpaka ninunue IPhone 7 hii wereva haikai na charge interview itaishia njiani buree[emoji28] [emoji28]
Afu list ndefuuu zamu yangu badooo
Halaf interview zake ujue hazina mda maalum wa kuisha unaweza ukalala kesho anaingia kwenye uzi anaendelea kukuuliza aisee sijawahi ona mimi interview ya hivyo
 
Ilikuwa mdogo sana mnafundishwa non huko

DJ sepetu
Mkoleni huwa huwa msichana anapelekwa baada ya kuvunja ungo huwa tunawekwa ndani kwa muda wa miezi 2 hadi 3, huku tukifundishwa mambo mbalimbali kama kujitambua kama msichana , kuwa na nidham na jinsi ya kuishi vuzuri na watu bila kusahau mtoto wa kike kufundishwa namna ya kuishi na mwanaume na siku ya kutoka nnje huwa tunachezwa ngoma huku tumezungukwa na watu vifua na chuchu zikiwa wazi
 
Kumkatikia mwanaume.
 
Je ukishafunzwa hayo mambo ya kukatika utazingatia shule kweli!?
Maana practical inahitajika

DJ sepetu
 
Kumkatikia mwanaume.
 
Nasikia binti anawekwa kwenye mabega kifua wazi na baba akiwa anashuhudia neema jinsi bolibo zilivyokomaa.
Ni kweli?
 
Wacha weeeeeh richaabra
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…