Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Lee muache bhana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ukinipeleka nipeleke na Lee wangu peke yangu siwezi kwenda ujue
msalimie akitia maguu hapa ataweka mnuno tena[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lee muache bhana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ukinipeleka nipeleke na Lee wangu peke yangu siwezi kwenda ujue
Mi ntakuintavyuu weweHatimaye Leo nimewahi interview
Karibu sana afu wewe ntakubali.Mi ntakuintavyuu wewe
Halaf interview zake ujue hazina mda maalum wa kuisha unaweza ukalala kesho anaingia kwenye uzi anaendelea kukuuliza aisee sijawahi ona mimi interview ya hivyoMpaka ninunue IPhone 7 hii wereva haikai na charge interview itaishia njiani buree[emoji28] [emoji28]
Afu list ndefuuu zamu yangu badooo
Mkoleni huwa huwa msichana anapelekwa baada ya kuvunja ungo huwa tunawekwa ndani kwa muda wa miezi 2 hadi 3, huku tukifundishwa mambo mbalimbali kama kujitambua kama msichana , kuwa na nidham na jinsi ya kuishi vuzuri na watu bila kusahau mtoto wa kike kufundishwa namna ya kuishi na mwanaume na siku ya kutoka nnje huwa tunachezwa ngoma huku tumezungukwa na watu vifua na chuchu zikiwa waziIlikuwa mdogo sana mnafundishwa non huko
DJ sepetu
Usingeomba picha ningeomba ban ya mwaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]Picha ili tuone iyo shepu
Sasa cuzoo peke yangu huko unapotaka nipeleka siwezi kwenda ukitaka niende niwe nae si unajua siwezi toka bila yeyeLee muache bhana.
msalimie akitia maguu hapa ataweka mnuno tena[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha ili tuone iyo shepu
We naye si ameshasema hapo au huoni sikuhizi.Ilikuwa mdogo sana mnafundishwa non huko
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingeomba picha ningeomba ban ya mwaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumkatikia mwanaume.Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kukumiliki huko mahari yetu ashaleta lakini[emoji15] [emoji15]Sasa cuzoo peke yangu huko unapotaka nipeleka siwezi kwenda ukitaka niende niwe nae si unajua siwezi toka bila yeye
Je ukishafunzwa hayo mambo ya kukatika utazingatia shule kweli!?Mkoleni huwa huwa msichana anapelekwa baada ya kuvunja ungo huwa tunawekwa ndani kwa muda wa miezi 2 hadi 3, huku tukifundishwa mambo mbalimbali kama kujitambua kama msichana , kuwa na nidham na jinsi ya kuishi vuzuri na watu bila kusahau mtoto wa kike kufundishwa namna ya kuishi na mwanaume na siku ya kutoka nnje huwa tunachezwa ngoma huku tumezungukwa na watu vifua na chuchu zikiwa wazi
Kumkatikia mwanaume.Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa uko wapiii cuzooKwani kukumiliki huko mahari yetu ashaleta lakini[emoji15] [emoji15]
Picha ili tuone iyo shepu
Nasikia binti anawekwa kwenye mabega kifua wazi na baba akiwa anashuhudia neema jinsi bolibo zilivyokomaa.Mkoleni huwa huwa msichana anapelekwa baada ya kuvunja ungo huwa tunawekwa ndani kwa muda wa miezi 2 hadi 3, huku tukifundishwa mambo mbalimbali kama kujitambua kama msichana , kuwa na nidham na jinsi ya kuishi vuzuri na watu bila kusahau mtoto wa kike kufundishwa namna ya kuishi na mwanaume na siku ya kutoka nnje huwa tunachezwa ngoma huku tumezungukwa na watu vifua na chuchu zikiwa wazi
Wacha weeeeeh richaabraNimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheeeeeeee hallooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Nasikia binti anawekwa kwenye mabega kifua wazi na baba akiwa anashuhudia neema jinsi bolibo zilivyokomaa.
Ni kweli?