Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Sio kuamini, lakini dunia ina mambo mengi na sio wote wanapenda mlivyo na wao pia wanaweza kuwa wanampenda, anaweza safiri au akawa na watu wengine akashindwa kuji control, linaweza tokea kibinadamu
Kama ni kibinadamu ni kusamehe maisha yaendelee!!

Unategemea kumwona vipi mumeo baada ya miaka kadhaa ijayo?! Kipi unafanya kuhakikisha ndoa yako inakuwa imara?! Ushawahi mnunulia mumeo zawadi?!
 
Wanasema kupiga mwanamke ni njia ya kumfundisha.Nini maoni yako?
Na je,wewe umeshawahi kupigwa?
Kupigwa kunauma asikwambie, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tuyaache wangu anapenda kuambiwa ukweli na kama nimekosea nawahi kuomba msamaha yanaisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupigwa muoga sana
 
Mie sijui nina matatizo gani.!
Yaani nyuzi za haka kajamaa huwaga sizielewi kabisa, sasa sijui hapa ndo nakoment nini jamani!
Au ngoja nipite kimya tu maana duh.!
 
Huyu Interviewee sijawahi kukutana naye popote hapa jamvini ila nimeshangaa DJ sijui kamuopoa wapi.

Pongezi kwa DJ kutuletea mgeni haswaa machoni mwetu
Hahahahaha DJ atakua aliimasta ipasavyo CJM au BAMC huyu ana data zawatu humu ni balaa usishangae hata zinazokuhusu wewe anazo ila wewe huzijui
Hapana chezea dijeisepetu [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
 
Kama ni kibinadamu ni kusamehe maisha yaendelee!!

Unategemea kumwona vipi mumeo baada ya miaka kadhaa ijayo?! Kipi unafanya kuhakikisha ndoa yako inakuwa imara?! Ushawahi mnunulia mumeo zawadi?!
Aendelee kuwa mme nababa bora, kuwa mkweli na zawadi huwa namnunulia sana nakumbuka baada kuolewa nilinunua shati alifurahi sana
 
Kupigwa kunauma asikwambie, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tuyaache wangu anapenda kuambiwa ukweli na kama nimekosea nawahi kuomba msamaha yanaisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupigwa muoga sana
In marafiki jf Wa ukweli!
Unatumia chujio gani kuchagua marafiki
 
Mie sijui nina matatizo gani.!
Yaani nyuzi za haka kajamaa huwaga sizielewi kabisa, sasa sijui hapa ndo nakoment nini jamani!
Au ngoja nipite kimya tu maana duh.!
Karibu siku ingine mkuu labda utaelewa!
 
Kwanini wanawake wanalalamika kutolidhishwa kimapenzi hasa uwanjani!!
Wewe unakabiliana nalo vipi!
Unajua mkiishi vema kwa uwazi na ukweli unamjua mwenza vizuri, hapo lazima ujue kazi zake muda gani anakuwa fresh kila siku si ijumaa kama ninauwezo wakumsubili miezi zaidi ya 10 iweje hiyo nyingine nisivumilie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…