Poleni sana kwetu upo lakini hauelewekiJamani huku kwetu Leo umeme ni changamoto nisaidieni kumuhost Ulweso
Hata mimi was not juaring uuuu Ile serious ila DJ Sepetu kwa data zawatu humu tu... aaaaaaaaaaaaaaaaaaa Soon Nitakusoma [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hawamfahamu Ulweso [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ni ke huyu!Hata mimi was not juaring uuuu Ile serious ila DJ Sepetu kwa data zawatu humu tu... aaaaaaaaaaaaaaaaaaa Soon Nitakusoma [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Seems huna mambo mengi wala show off sana kama akina Smart911 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc Smart911
Kwanza kwa muonekano wake ni mpole na mkimya fulani, nami ndiyo likiuwa chaguo langu sikuwa napenda mtu muongeaji kupitiliza maana mie mwenyewe sio muongeanji sana japo ni mchangamfu, alikuwa mkweli kwangu kwa kila alichoniambia pia mie si mrefu sana wala mfupi nipo kati, hivyo nilitaka mme awe mrefu na kidogo fulani hivi mkitoka mnaonekana hawa ni mtu na mkewe wanapendezea [emoji23][emoji39] [emoji39] [emoji39]Mumeo ulimpendea nn hasa kilikufanya kusema huyu ndiye
Karibu ila msiniulize maswali magumu saana[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ufupi ni shidaa!Kwanza kwa muonekano wake ni mpole na mkimya fulani, nami ndiyo likiuwa chaguo langu sikuwa napenda mtu muongeaji kupitiliza maana mie mwenyewe sio muongeanji sana japo ni mchangamfu, alikuwa mkweli kwangu kwa kila alichoniambia pia mie si mrefu sana wala mfupi nipo kati, hivyo nilitaka mme awe mrefu na kidogo fulani hivi mkitoka mnaonekana hawa ni mtu na mkewe wanapendezea [emoji23][emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mie ke jamani hata kifuani hunioni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi was not juaring uuuu Ile serious ila DJ Sepetu kwa data zawatu humu tu... aaaaaaaaaaaaaaaaaaa Soon Nitakusoma [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Seems huna mambo mengi wala show off sana kama akina Smart911 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc Smart911
Usijali mamiii kumbe nawewe ni muoga kama Mrs Smart lol.... DJ ananijua vizuriii kwa interview tu mimi mbiooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] huwa naogopaje kuswalikwa maswali magumu yakizushi na chonganishi miye ndomana nakimbiaga tehtehtehKaribu ila msiniulize maswali magumu saana[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ufupi sio shida sasa mie niwe mfupi na mwenza mfupi sasa tutoa nini kama si vigoda? Lakini angepatika na akawa muwazi na kweli mambo yangekuwa safi, ujasiliamali nilipokuwa nimemaliza sec.nilijifunza ushonaji na kabla ya kwenda chuo nilipata kazi kidogo, hapohapo nikiwa chuo nikakutana na mchumba tulipo oana baada ya chuo tulipanga iwe hivyo nijiajili ili nitulie familia yangu au nipate muda wa kucare familyUfupi ni shidaa!
Ujasiriamali uliuanzaje na je kwanini hukutafuta Kazi ya kuajiliwa!
Hahahahahhahaaha kwa Smart nimetoa mfano tu mamiii... Au kwakua nimemetolea mfano wa mwanaume lol sorii ... Basi kwakua huna mambo mengi humu kama Lebig dada Money Penny tehtehtehMie ke jamani hata kifuani hunioni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo mkuu usiniswalike maswali magumu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Usijali mamiii kumbe nawewe ni muoga kama Mrs Smart lol.... DJ ananijua vizuriii kwa interview tu mimi mbiooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] huwa naogopaje kuswalikwa maswali magumu yakizushi na chonganishi miye ndomana nakimbiaga tehtehteh
Cc Smart911