Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Hauoni kuwa huitendei haki taaluma yako!.

Ujasiliamali umekupa nn ambacho Kazi ingekuwa ngumu
 
Lol mwanamke na familia yake huyo that's great.... Like like like


Smart911 chief wangu fanya hima namimi nataka
 
[emoji849]

Unajua hasira zangu nitazimalizia wapi...

Mpaka ushindwe kutembea asubuhi...
 
Mme amewahi kukufurahisha zaidi kwa jambo gani
Lini umewahi muuzi zaidi
Kwakweli ni mengi sana, kwanza anajali sana na kunisikiliza, hahaha lakumuuzi duu kuna siku nilitoka japo nimeaga sasa bwana jamu la dar si nikachelewa na funguo ninazo mwanaume alichaluka bahati nzuri shemela naye alikuja hapo kwetu ikabidi nimwambie atulie mpaka nifike ili aokoe msala maana hali ya hewa ilichafuka
 
[emoji849]

Unajua hasira zangu nitazimalizia wapi...

Mpaka ushindwe kutembea asubuhi...
Hahahahaha... Wewe si umeniamsha mwenyewe mi nilikua nimelala zangu nami nakuchokoza makusudi. teh Kesho jumapili ntashinda najikandaaaaaaa ikikomaa feni ipoooo [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji12] [emoji12]
 
Umesema una watoto!
Je unawaleaje ili wakue vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…