Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Asante sana mamiii siunajua Sisi wanawake maungo yetu afanye fanye wakati nyonga bado teke mambo ya kwenda leba kuchambwa na manesi wee bibi sikuzote ulikua wapi mpaka kiuno kimekaza hivi sio mazuri mamy


Cc Smart911
Hapo unatulia tu mtaka chauvunguni sharti uiname ni matusi ya muda hata wao hupitia huwa wanajishaua tu
 
Me nilijua Ulweso ni mwanaume khaaa[emoji15] [emoji15] samahan dada angu
Naomba kuuliza swali ulweso hili jina lina maana gani?? Uliwaza nini mpaka ukaamua kulitumia humu?? Make nami nilipata kizungumkuti just by name I thought wewe una mashine kumbe we belongs under the same category kila mwezi tehteh


Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…