Mrembo Vera Sidika apata aibu kubwa, Meseji zake akichat na Mwanaume kupatana bei kuduu zimetolewa

Hua nampenda Vera no matter what! Na leo kazidi kunifurahisha kwenye baadhi ya chats zake hapo.Ana 'kijiheshima' kidogo na anajijali.
Strictly. ...SITAKI MASWALI.

Lazima nikuulize maswali ndio wewe nini umeamua kujipa promo?
 
ngoja nchangamke namie npate picha za kuweka insta...ndo maana nashangaa kina hudda, masogange kila siku wanatupia tu picha wako mahotel mazuri ila hakuna picha ya ofisini kumbe ofisi kiuno mjini patamu

Wewe mtoto keshakuwa angalia usimbemende.
 
Lazima nikuulize maswali ndio wewe nini umeamua kujipa promo?
Katika wooote walioamua kuniuliza maswali ya kipuuzi nimekaa kimya ila nimeona bora nikujibu wewe maana umenikera kupitiliza.
Mimi kumpenda Vera ndio tuwe sawa kitabia? Yeye ana maisha yake mimi nina yangu! Pia hayo ndio maisha yake aliyojichagulia....i.e siwezi kumbadilisha.
Unaweza kunieleza ni kipi kilichokufanya useme kua najipa promo? Kwa nani? Ili iweje?
 
ngojaaaa na mimi ni mtafuteee....nimepigaaa helaaa angu hapa mereraniii ngojaa nikanunue ngomaa
 

weee unachukuliwa kideo mwenzio anaenda kuuza
anapata faida kubwa kuliko aliyokulipa
 
Kifungu cha katiba: Mtu ana uhuru wa kufanya au kwenda kokote atakapo ili mradi havunji sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…