Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
48,052
Reaction score
104,677

View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.
 
Braza....jf mmepangwa wangapi???😁😁😁😁😁😁
MAwe sitaki
 
Huyo mwenzenu nae hakutaka kumpa mrembo tu Hilo gari,, masharti kama mganga wa kienyeji, Extrovert umeona huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…