Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Babu na wewe Nini?wewe umeshazeeka umekuwa kibogoyo,waache vijana wavunje mifupa meno bado Iko 😁😁😁watu Wana pesa zao mjini halafu sio wabahili kama Robert Heriel Mtibeli na nduguye Extrovert
Hahaha...............hatari sana, enzi za Ujana niliwahi kumnunulia Mchumba baiskeli kama huyo jamaa alivyofanya, lakini hadi leo hii nikikumbuka roho inaniuma bado 😅

Kweli kutoa ni moyo 🏃🏃
 
nilijua tu kuna mtu lazima alete uzi wa hii stori ....stori ambazo hazina tija wala maana yoyote
Badala tujadili vitu vya muhimu kama ni jinsi gani ya kulitongoza lishangazi na likuazime hata laki 2 wikiendi ukale bata huku ukiangalia ARSENAL akimtandika CHELSEA
 
Mafeminist ya jf yatakuja hapa na kumlaumu jamaa kwamha hana upendo wa kweli kwanini kama "anampenda asimpe tu"

kwa mafeminist wao kila blame huitwist kwa mwanaume yani "kila kosa hua ni la mwanaume" ngoja waje uone.
Hata feminists wanaona hii imezidi, unashindwa hata kujua katika maboyfriends zako nani anajiweza kidogo kweli, walipangwa wengi kwa style hii.
 
nilijua tu kuna mtu lazima alete uzi wa hii stori ....stori ambazo hazina tija wala maana yoyote
Badala tujadili vitu vya muhimu kama ni jinsi gani ya kulitongoza lishangazi na likuazime hata laki 2 wikiendi ukale bata huku ukiangalia ARSENAL akimtandika CHELSEA
Zipo mada zenye madini kibao tu mkuu, halafu hiyo mishangazi yenyewe ipo hoi siku hizi. Lipo moja hapa nalilia mingo, nishaliambia mimi mzee wa hovyo ndio tunawezana linacheka tu🤣
 
Huna lolote unajishaua, umewezaje kuchangia hapa?

Kula madafu uendelee na safari bado ndefu😂😂😂
 
Zipo mada zenye madini kibao tu mkuu, halafu hiyo mishangazi yenyewe ipo hoi siku hizi. Lipo moja hapa nalilia mingo, nishaliambia mimi mzee wa hovyo ndio tunawezana linacheka tu🤣
hizi ndio mada za kujadili sasa.....kuna limoja nalifukuzia hapa ni lijane linaniamba ila ww si mdogo wangu tena wa mwisho kabisahta ndevu hauna 😀
 
Back
Top Bottom