Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

nilijua tu kuna mtu lazima alete uzi wa hii stori ....stori ambazo hazina tija wala maana yoyote
Badala tujadili vitu vya muhimu kama ni jinsi gani ya kulitongoza lishangazi na likuazime hata laki 2 wikiendi ukale bata huku ukiangalia ARSENAL akimtandika CHELSEA
Hayo mambo muhimu kajadili na familia yako,nyie ndo mnaokufa mapema,kazi na dawa,wakati mwingine lazima burudani kidogo
 
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.
Mambo ya DP World kontena unapakia Jumatatu Dubai, Jumatatu ijayo unalipokea Mwanza.
 
Back
Top Bottom