Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Huyo baharia mwenzetu katuwakilisha vizuri sana!! Kwanza ana uhakika wa wanaume wa kununua gari zaidi ya watatu.
Hapo atulie asubirie gari lingine kikubwa asijichanganye tena 😂😂😂
Eti kawawakilisha vizuri, vijana kazi wanayo wallah🤣
 
Eee dada naomba mwambie gari langu alilete na nimeshaliona harrier ole wako abadilishe alete Vits sitomuelewa 😂😂😂
Atakuwa analewa tu Kwa hasira muda huu,chezea surprise wewe inapobadilika?There no surprise in Africa,u will end up surprise urself..
 
Eti kawawakilisha vizuri, vijana kazi wanayo wallah🤣
Katisha ndio inavyotakiwa sio una watu choka mbaya muda wote wanaimba SINA HELA 😂😂😂😂
Huoni kaliacha gari sababu ana uhakika lingine linakuja
 
nilijua tu kuna mtu lazima alete uzi wa hii stori ....stori ambazo hazina tija wala maana yoyote
Badala tujadili vitu vya muhimu kama ni jinsi gani ya kulitongoza lishangazi na likuazime hata laki 2 wikiendi ukale bata huku ukiangalia ARSENAL akimtandika CHELSEA
Yaan hata mimi nilijua tu lazima uta comment kwenye huu uzi ambao story yake haina tija wala maana yoyote

Sasa sijajua comment yako kama imeleta tija au maana yoyote ile 😝😝
 
Atakuwa analewa tu Kwa hasira muda huu,chezea surprise wewe inapobadilika?There no surprise in Africa,u will end up surprise urself..
Africa surprise ujifanyie mwenyewe ndio itaisha salama, ila hizi za kufanyiana lazima maumivu yatokee 😂😂😂
 
Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani 🙌

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV

Nnachojiuliza, inamaana huyu mrembo alikua na watu wengi wenye uwezo wa kumpatia zawadi ya gari?
 
Itabidi Ben amfikirie,kamheshimisha sana!!shout out to Benson,Benard, Benjamin whatever the Ben😁😁😁😁
Sema kajichanganya angetuuliza tumwambie kina Ben sio wahongaji ni maneno mengi mdomoni 😂😂😂
 
Hivi we si umezeeka?lishangazi la nini tena si uchukue kindergarten kama kina Lamomy ?
Namshangaa mishangazi ya nini anaitaka, aje huku niwe nampa show heavy afu tukimaliza nampima pressure na sukari km iko vizuri 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom