Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Ingawa hilo ni igizo lakini hiyo tabia imeshakuwa sugu. Ukiwa na mtoto wa chuo tambua kuna kakijana ka chuo kanamtafuna muda wowote akitaka.
 
Nnachojiuliza, inamaana huyu mrembo alikua na watu wengi wenye uwezo wa kumpatia zawadi ya gari?
Wanawake wengi hasa wenye umri wa wastani yaani 21 hadi 27 hujiona ni hot cake, kwahiyo hawajui wanataka nini.

Kwahiyo si ajabu alikuwa amewapanga Wanaume wa kutosha ili mradi wapo wa kumpa hela ya saluni, wakumpeleka Klabu, wakumlipia Kodi n.k

Kwahiyo wengi hawafai kudate nao hasa kama wewe ni mtu mzima unayejielewa.

Ingawa hufaa kwenye yale matumizi ya Chapa Ilale
 
Back
Top Bottom