Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani πŸ™Œ

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi
Watu wanatoa majumba na magari expensive kuliko hilo. Acha roho mbaya.
 
ERoni umesikia kumbe kindergarten wanakuwa wanakumarinate Babu ulegee wakuchune Hela zako😁😁😁
Kwa hizi digrii zetu za Mzumbe wanadhani hatujui sio?🀣 sema vinapata bakora za kutosha tu manake bado magonjwa nyemelezi hakuna. Mzee mwenzangu Grahams kathibitisha hilo 🀣
 
Kwa hizi digrii zetu za Mzumbe wanadhani hatujui sio?🀣 sema vinapata bakora za kutosha tu manake bado magonjwa nyemelezi hakuna. Mzee mwenzangu Grahams kathibitisha hilo 🀣
Huyo Mzee mwenzio Grahams katoa Siri za kambi mpaka anywe dawa za presha na ajichome insulin ndio kasema anakuwa poa,,πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani πŸ™Œ

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
Mimi Mama yangu Kwa Sasa nimemuwekea kautaratibu, Kila iwapo Ijumaa, najitahidi Nimtumie Laki Moja.

Mama anafurahi sana, ananiombea Kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…