Uliona mambo hujawahi ona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]me Kuna watu nikionaga natamani kuwapiga chabo
π siku zake zinahesabika tutajua ukweli ni upi na hivi ndio kashakua maarufu kidogo.Taja boyfriend, utaje Ben baba yako πππ.
Kama anajifanya anakili sana, ningemwambia aniletee cheti za kuzaliwa Cha Baba yake, Kitabulisho ya NIDA , Kiapo Cha Mahakama n.k
JiraaaaniNiliona kweli L ni chizi anamchabo maza ake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tulikua watoto Mungu atusamehe!!
Yule mzee ana bonge la mkia km la punda afu jeusiiiii tiii!!! Yule baba sijui mjaluo?
na ule utoto had usiku niliweweseka
Mtaje sasa![emoji1787]
Jiraaaani
Uliona nini jirani π[emoji23][emoji23][emoji23] Tulia wewe
Tuwekee video tufaidi
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.
Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.
Chanzo: Global TV Online.
ππππ nmeona fantasy ya ERoni sina hamu nayeNiliona kweli L ni chizi anamchabo maza ake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tulikua watoto Mungu atusamehe!!
Yule mzee ana bonge la mkia km la punda afu jeusiiiii tiii!!! Yule baba sijui mjaluo?
na ule utoto had usiku niliweweseka
Mtaje afurahi sio unamficha km bangi πππAu nimtaje bebe wangu kabisa!!
Vitu adimu ππππUliona nini jirani π
Hata kwangu vimo, karibuπVitu adimu ππππ
Nguvu Anazo au yale yale ya njoo kwa juu ππππππ anataka ntu tatu dadeq
π€£π€£π€£π€£π€£Yaani nacheka hapa sipati picha ambavyo ungeingia chakaπ€£π€£
Nije nikule chabo? πππHata kwangu vimo, karibuπ
Anataka kufa awape watu kesi πππNguvu Anazo au yale yale ya njoo kwa juu πππ
Njoo uangalie sio chabo, sasa ghorofani utapigaje chabo jirani πNije nikule chabo? πππ
Tafuta mwanamke bonge ili chabo ibambe
Anataka kutrend kwa Millard Ayo huyuAnataka kufa awape watu kesi πππ