Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Uliona mambo hujawahi ona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]me Kuna watu nikionaga natamani kuwapiga chabo

Niliona kweli L ni chizi anamchabo maza ake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tulikua watoto Mungu atusamehe!!
Yule mzee ana bonge la mkia km la punda afu jeusiiiii tiii!!! Yule baba sijui mjaluo?
na ule utoto had usiku niliweweseka
 

View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Tuwekee video tufaidi
 
Back
Top Bottom