Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Wanaume mkipewa zawadi muotee aliyekupa mtajua?
Binafsi nikitumiwa zawadi hata kama sijaambiwa ilipotoka naweza kujua aliyenipa.

Maana ni Wanawake wachache sana wanatoa zawadi. Ukitafuta kwa kila Wanawake 100 wanaotoa zawadi wanaweza kuwa 5.

Wanasahau hata Wanaume tunapenda kupewa zawadi kama wao tu.

Imagine hapa nina zawadi nilipewa na Bibi yenu mwaka 74 hadi leo hii nimeitunza πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisy Joannah kweli ofa zote hizi umekataa?? Kweli jua lilivyo kali unang’ang’ania kuzurura samvula chole Unaacha kwenda kupumzika Parii?!!
Haya huyo shemeji mwingine yupi? Mdogo ako simjui!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi TUKANA UONE nimegundua dada angu kashazoea shida
 
L

Alikuwa kawapanga kweli hadi jina la aliyemnunulia gari hamjui.
Na tulivyo maboya hata wenyewe wameshindwa kujuana.

Ningekuwa Mimi baada ya dating ya siku 10 hivi ningejua kuwa tunapangwa.

Maana Size ya Kinu si nitakuwa naijua, nikiwa natangwa tu najua hiki Kinu kimeshatumika kutwanga Mpunga wa familia kama 7 hivi πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…