Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Wanaume mkipewa zawadi muotee aliyekupa mtajua?
Binafsi nikitumiwa zawadi hata kama sijaambiwa ilipotoka naweza kujua aliyenipa.

Maana ni Wanawake wachache sana wanatoa zawadi. Ukitafuta kwa kila Wanawake 100 wanaotoa zawadi wanaweza kuwa 5.

Wanasahau hata Wanaume tunapenda kupewa zawadi kama wao tu.

Imagine hapa nina zawadi nilipewa na Bibi yenu mwaka 74 hadi leo hii nimeitunza ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
We mwanamke acha Vimbwanga,yaani niwe tajiri na mtu ninaye miliki BMW JF nzima?,Usinifanyie hivyo tafadhali!

Kweli,Mungu kanibariki na mimi namiliki tugari ikiwemo Mashine BMW ila mimi sina utajiri wowote,mimi ni mtu wa kawaida kabisa!.


By the way

Rafiki yako Joannah aliniambia anaye mpenzi wake na wanapendana sana,hivyo si mwanamke wangu,huwa naheshimu mahusiano ya watu kama ambavyo nitapenda naya kwangu yaheshimiwe!.

Hatufahamiani but nilimpa offer Joannah achague sehemu yeyote atakayo ndani ya nchi na nje ya nchi ningemepeleka,kabla ya hapo nilipanga nimepeleke Ngorongoro akaenjoy,pia ningemnunulia usafiri wa kuzungukia mjini ili kulikwepa Jua,nilipanga nimnunulie Ka-IST angalau na yeye alikwepe Jua la Dar lakini haikuwa bahati yangu nikakuta amewahiwa!.

Hivyo ukiendelea kuniita shemeji utakuwa unanikosea kwasababu Joannah ni mke wa mtu!.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sisy Joannah kweli ofa zote hizi umekataa?? Kweli jua lilivyo kali unangโ€™angโ€™ania kuzurura samvula chole Unaacha kwenda kupumzika Parii?!!
Haya huyo shemeji mwingine yupi? Mdogo ako simjui!!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi TUKANA UONE nimegundua dada angu kashazoea shida
 
L

Alikuwa kawapanga kweli hadi jina la aliyemnunulia gari hamjui.
Na tulivyo maboya hata wenyewe wameshindwa kujuana.

Ningekuwa Mimi baada ya dating ya siku 10 hivi ningejua kuwa tunapangwa.

Maana Size ya Kinu si nitakuwa naijua, nikiwa natangwa tu najua hiki Kinu kimeshatumika kutwanga Mpunga wa familia kama 7 hivi ๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom