Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

We mwenyewe unajua ninavyopenda pesa mbele kama tai,,,,huyo mpare nitamwezea wapi Mimi?hii tuhuma ipuuzwe
Niwaona kwa macho yangu mkibebishana unamkana?
Mimi huko sipo nimeamua kusonga mbele kama injili ya Paulo
 
Babu umetisha 😂😂😂😂
Ha ha ha ......................Amini Mjukuu, hamkuona hata Font size aliyokuwa anatumia ilikuwa ndogo,.Maana Babu yenu ili niweze kuandika huwa natumia Size 28 na zaidi 🤪🏃🏃🏃
 
Nimejifunza kuwa Low Key katika mahusiano na mwanamke wako, make sure hajui uwezo wako kiuchumi.

Halafu siku unataka kuoa ile unataka kutuma ndugu waanze process za mahari na utambulisho Unaaanza na Kitu kama Hiki kwanza.

inaweza isiwe Gari inaweza tu kuwa siku ya Kumvalisha pete ya Uchumba Aingie ukumbini amseme Anae hisi leo anataka kumvalisha pete ya Uchumba ni NANI... akipatia FRESH unatokelezea baba la baba unaenda kuweka kiringi kidoleni kwa mazaaa.

Akikosea unasema inshaalaaah Una count hasara ulopata ya Event ni ya mwisho umetoa sadaka hutokei na game is over.

before we marry them tuna mambo tunaweza wafanyia kujua mioyo yao ipo wapi.

NOTE : Kuna wanawake wana BET na mikeka yao huwa hawakoseagi Guys kuweni nao Makini anaweza kupanga Team 8, na zikatoka zote.

Kwenye mahusiano pia wapo ki ufupi ukifanya hii challenge kwa umpendae uwe umejiandaa kisaikolojia mwanaume.
 
Back
Top Bottom