Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwa kauli hii Sasa Babu inabidi umrudie Muumba Kwa sala na toba maana hapo tayari una uraia pacha,wa duniani,na wa mbinguni....fanya TOBA babuHa ha ha ha ................si kwa umri huu Mjukuu, maana Jogoo mwenye anawika mara tatu kwa Mwaka kama yule Jogoo aliyewika wakati Petro ana mkana Kristo 😅