Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama wewe tulia kama unanyolewa sweetheartUsikubali hvhv we pigana hadi ushinde
Pole kuachwa inauma sana....Yote namuachia muumba, naanza upya, sijawahi kuchoka kuanza upya๐คฃ๐คฃ
Hee ulitaka uwe na wangapi?Tutazungumza maana Nina maumivu ya moyoni ya kuachwa ghafla...
The one and only G.Hee ulitaka uwe na wangapi?
UDSMChuo gani hicho wanafanya mahafali mwezi huu was kumi? Au sio chuo kikuu au kiki ?
Mpenzi wako si huyu?Unajua siku zote nakupenda,tatizo lako hapo kwenye upareee๐คฆ๐คฆ๐คฆ๐
๐๐๐๐ akuuu me nasemea tyuuu!!!Mbona Hujawahi niambia hili wa udugu wangu?
Unafiki wako utashindwa tu, nilikutetea ukitokea kwa mzungu kichaa leo unanisaliti???๐๐๐๐๐๐ akuuu me nasemea tyuuu!!!
Ila dada una moyo, kaka anaparamia mademu humu balaa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Wivu huo ๐๐๐View attachment 2786605
Mpenzi wako huyo ni RHM
Huyo demu mhuni tu...kwa Nini amtaje baba ake? Kwani boyfriend wake hamjui? Eti privacy, mtu anakununulia gari unamficha? Demu ana msururu sema bac tu jamaa ana mpendaNmeona interview yake clouds anadai benny n jina la baba yake, kuna ukakasi ila naona amepata cha kumpa umaarufu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKumbe una wivu jamanii,,, nilikuwa sijaelewa mpare gani unamsema kumbe Robby?huyo ni Upendo wa agape bwana Lamomy ongea na shem wako basi mwambie ana moyo wanguView attachment 2786605
Mpenzi wako huyo ni RHM