Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Hapo yupo LA gym kuna watoto wa kilatino balaa, Huyu mdada hajakalia kimazoezi yupo yupo tu. Brooklyn sijaona la maana zaidi ya Panya,Mende na Bed bugs tu.
 
bora mange kimambi tu
 
Shoga umeuaaa
 
Nikuonyeshe kwa hadhi gani ulonayo? Ndo nishasema sasa hutaki kameze wembe ufe.
We dada unaonekana Matawi alafu mzuri Mi mwenzako Marioo nitumie contact tuwasiliane NB nazama chumvini km nimerogwa vile
 
Utapo anza kutembea "UCHI" nishtue mm ntakuwa Ubungo mataa nataka nishuhudie majaaliwa yako......na ntakupa ulinzi hadi Kibamba kwa MANGI.
 
Huyu demu anaishi jirani kabisa na Jay Z na Beyonce. Makalio yanalipa Marekani nyie endeleeni kuyapikia mama ntilie tu Magomeni
 
Huyu demu anaishi jirani kabisa na Jay Z na Beyonce. Makalio yanalipa Marekani nyie endeleeni kuyapikia mama ntilie tu Magomeni
Ngoja nitafute kazi nyingine ya kufanya humu mnanivunja mbavu tu...
[emoji2]
 
Hahahaaa, toa jibu moja mbuzi we! Nikuonyeshe reality yangu kwa hadhi gani ulonayo?? Kaonyeshwe na stella tillya!
am proudly a gentle..so we ni wakike tu Just wait for pumping guy..mi mwarab bwan kua makini nicje fnya hodi kwa mlango wako please!
 
Duh! Eti anayewadatisha wasanii wa Kimarekani....
 
Coco beibeee....

Cheki ofisi hiyo. Kuna kuosha vyombo hapo? Umeona dual monitors hizo? Hahahahaaa anacheza huyo.

View attachment 534342

Baba la ughaibuni, supaaaaaaaa

Watu hawakusomi kukuelewa ulivvyo unavyoandika mengi kivyako.. tegemea hayo eeeeh wanataka uwe watakavyo wao....

Wanajua kusoma hawajui zaidi ya hapo... dada yetu wa humu angeulizia shule walizosoma ha ha haaaa

Unajipenda haswaaaaa, mazingira yamaongea na ua uwiiiiiii

Subiri PM yako ije ijae sasa eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…