BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Ao wanaojidai wanaishi marekani,uko waliko wanatia huruma tu,kuishi marekan sio ndo umemaliza,..unaweza ona Sie tunaoishi uku kwa mtogole bora ata yetu..wao ukakasi mtupuSijui kwanini nimecheka sana kwa hii comment.. Anyway umdhaniaye ndiye kumbe siye.. Wacha na mimi niendelee kuliwa na nzi huku mpiji majohe
Duh!!!Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
Duh!!!We dada unaonekana Matawi alafu mzuri Mi mwenzako Marioo nitumie contact tuwasiliane NB nazama chumvini km nimerogwa vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu demu anaishi jirani kabisa na Jay Z na Beyonce. Makalio yanalipa Marekani nyie endeleeni kuyapikia mama ntilie tu Magomeni
Ohooooo!!!Huyu dada kuna ck alitaka kuingia anga za Mange kimambi..alimpa warning..aksema akirudia ..atamrushia kombora..alifyata mkia..hadi leo huwa akiona Mange anamkimbia...
Soo insecure! Kazi kujibinua asubuhi mpaka jioni halafu wajinga hapa wanadai tunamwonea wivu hahaa!
Mwisho nimeona comment ya mtu mwenye akili timamu, kama wewe ni mwanamke nakupa pongezi nyingi kwa busara hii.Wivu kweli unamuonea kwamba kapata publicity ambayo unaona hastahili. Unakuwaje na hasira na mtu hivyo? Umemtaja na mwingine hapa somebody Temu. Anahusika vipi hapa? Why don't you mind your own business? Inaonyesha unajiona bora kuliko wao halafu badala ya watu ku-publicize watu wema kama wewe wana-publicize watu wasiostahili. Kama huna jema la kusema kumhusu ni vizuri ukafanya yako. Vinginevyo utaonekana una frustration kwa povu hilo.
Wanawake sijui kwanini hampendani. Hapa kinachozungumziwa ni urembo kiasi cha kuwadatisha wanyamwezi. Wewe unakuja na habari nyingine ya maisha yake. Hata kama ni changudoa haijalishi kwamba sio mzuriEish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
Huu sasa ndo wivu wa kike. Hapa unazungumziwa ulimbwende wake wewe unazungumzia kazi anayofanya. Hata kama anaosha maiti swala ni kwamba anahusudiwa...Huyu Anaosha Vyombo migahawani na Kutunza Wazee kama mwenzie nyani ngabu
Acha kuwa na dharau na kazi za watu... Kama angebaki hapo Tanzania wew ungempa ajira? Ni bora ukaficha upumbavu wako kwa dk 1 mbele ya hadhara,Huyu Anaosha Vyombo migahawani na Kutunza Wazee kama mwenzie nyani ngabu
Sasa babu kusema huo ni wivu wa kike unamaanisha nini? Mimi wa kike mbona sina mambo hayo? Tabia mbaya ni ya kike tu? Wivu ni wivu hauna jinsi wala jinsia.Huu sasa ndo wivu wa kike. Hapa unazungumziwa ulimbwende wake wewe unazungumzia kazi anayofanya. Hata kama anaosha maiti swala ni kwamba anahusudiwa...
Cc komredi Nyani Ngabu unaitwa huku.
Nimekupenda for free!Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
Samahani kama nimekukwaza mpenzi. Hako kasentensi nimekatohoa toka kwa mheshimiwa sana Ben Mkapa.Sasa babu kusema huo ni wivu wa kike unamaanisha nini? Mimi wa kike mbona sina mambo hayo? Tabia mbaya ni ya kike tu? Wivu ni wivu hauna jinsi wala jinsia.
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.
Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!
Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!
Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.
View attachment 534343
Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....
View attachment 534344