Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Samahani kama nimekukwaza mpenzi. Hako kasentensi nimekatohoa toka kwa mheshimiwa sana Ben Mkapa.

BTW umenikasirikia? Niko radhi kukulipa fine in kind...
Nikikukasirikia wewe ni sawa na kumkasirikia Magu. Sitakupunguzia chochote ila mimi ndo nitajiongezea nyongo. Nakupenda babu.
 
Nikikukasirikia wewe ni sawa na kumkasirikia Magu. Sitakupunguzia chochote ila mimi ndo nitajiongezea nyongo. Nakupenda babu.
Jamani mbona hujanambia siku zote? Au hujui kupendwa raha? Nami nakupenda pia.

Itabidi tufanye muungano wa penzi letu.
 
Ok. Bye
 
Mtu asiye na makaratasi hapati kazi? (ya uhakika)?

Na kazi ya uhakika ipoje?

Na isiyo na uhakika iko vipi?
Isiyo na hakika (under the table and low paying jobs)
Ya hakika (professional with benefits)
Marekani bila karatasi labda kama yeye ni exceptional na ID isiyo expire, otherwise, wale wale na yale yale
 
You must be sick! So dadaako akiishi maisha yake kutegemea wanaume just kuwa high profile si tatizo? Una watoto wa kike wewe? How many young women admire her lifestyle without genuinely knowing her source of brags? So wakimuuliza leo success yako umepataje aseme wapopo's money? Kaamua kuwa public so yes tutamdiscuss whether bothered or not, and You know what,? Kubishana na watu wenye views kama zako ni wastage of time. Empty headed. Endelea na shughuli zako ndugu tufanye kama hujanisoma.
Shukran
 
Isiyo na hakika (under the table and low paying jobs)
Ya hakika (professional with benefits)
Marekani bila karatasi labda kama yeye ni exceptional na ID isiyo expire, otherwise, wale wale na yale yale
Hata sisi tupo Marekani tunaelewa haya mambo usitulishe matango. Itakua ulishinda lottery au uliletwa kama kiroba ukafanyiwa kila kitu so hujui side B. Watu wa namna hii mpo slow sana, vichwa havifunguki haraka comparing to your counterparts walioanza from the scratch on their own. Kazi za maana bila karatasi zipo tena kibao
 
Wanawake sijui kwanini hampendani. Hapa kinachozungumziwa ni urembo kiasi cha kuwadatisha wanyamwezi. Wewe unakuja na habari nyingine ya maisha yake. Hata kama ni changudoa haijalishi kwamba sio mzuri
Wanyamwezi wanadatishwa na anything stupid, hamna jipya kwake so far zaidi ya kuwa cheap thot. Kina cynthia masasi walikuwa hawadatishi? At least cynthia worked.
 
Yes najiona bora, una tatizo?
My opinion na siibadilishi. She is fake kama Rachel Temu and thats that! Mwenyewe anataka kuwa public so sit your behind down i said what i said and that's it
 
Peleka ujinga huko nyie ndo mnafanya waafrica wanaekwa kwenye red flag! Hana karatasi ni ILLEGAL REsident, no options zaidi ya yeye kupata green card, usidanganye watu hapa. Tuje kwa lottery au kusalimia inabadilisha sheria? Nyie mtakuwa wale mnaotumia kila kitu famba mnafanya waafrica waonekane wale wale! She is Illegal no justification! Kama ana ujanja atoe pua aende hapo mexico tu!
Na kazi ya maana kwa id famba mnazotebgeneza texas na dc sio? Iki expire id yake anapewa kazi Ya maana na mjomba wako? Onyesha kazi ya Stella tillya hapa otherwise funga bakuli lako!
 
Ila wivu kwa wanawake umetajwa mpaka kwenye vitabu vya dini.leo nimepruvu siyo kwa hizi hasira hapa . ndukiiiii
 
Why does that bother u so much. I really don't get it. Kawahi kukuomba pesa? Anaishi illegally au otherwise is up to DHS kumfuatilia sio Mimi au wewe. Hapo hana pepa anauza sura akipata je si utatamani ardhi ipasuke ikumeze.
 
Why does that bother u so much. I really don't get it. Kawahi kukuomba pesa? Anaishi illegally au otherwise is up to DHS kumfuatilia sio Mimi au wewe. Hapo hana pepa anauza sura akipata je si utatamani ardhi ipasuke ikumeze.
Why niwe bothered na fake life yake??? Sir una opinion yako na nna opinion yangu juu ya show offs zake! Why dont u mind yours and i mind mines?

Meanwhile mjulishe shes too old for that. Kama kakaa miaka zaidi ya kumi hana akili ya karatasi hatokaa aipate kwa kubenua makalio kila siku.
 
hata Kama ana maisha fekero hio sisi atujali wala haituhusu na wala haiendan na uzi ulioazishwa hapa pamezungumziwa urembo wake na ni kwel huyu dada ni mrembo na usipende kuongelea Sana mabaya ya mtu angalia na mazuri Yake. ..ACHA WIVU !!!!!
 
hata Kama ana maisha fekero hio sisi atujali wala haituhusu na wala haiendan na uzi ulioazinywa hapa pamezungumziwa urembo wake na ni kwel huyu dada ni mrembo na usipende kuongelea Sana mabaya ya mtu angalia na mazuri Yake. ..ACHA WIVU !!!!!
wivu???? Hahahahaaaaaaa!!! dah!
Next please
 
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.


Prezo sio tajiri. Mama yake ambaye ni mtu wa msoma aliolewa na jamaa anaitwa Makini. wakapata mtoto ambaye nick name yake Prezo. Baba ya Prezo ambaye alikuwa kabila la kikuyu alikuwa akifanya kazi kwa Mtanzania mganga wa kienyeji, baadaye akafuguwa biashara yake ya Uganga ikitwa Makini clinic, Baba yake Prezo alipofariki mama mtu akashika biashara ya uganga. Ulikuwa katika utawala wa Moi, Hakuna dawa mahosipitalini, Mama Prezo alitengeneza pesa nyingi sana kwa kudanganya watu. Kuwaahidi watapona hata kama wanakufa. Unachopanda udicho unachovuna. Prezo na mama yake sio tajiri tena, ni masikini wa kutupa . Prezo alijaribu kuwa muimbaji, ameshindwa na Sasa ametingwa na shida ya madawa ya kulevya.
 
Jamani msaada wa namna ya kupata Visa kwa urahisi ya kuingia marekani tafadhali. Nasikia baadhi ya mataifa wamezuia siye tumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…