NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,024
- 2,487
Nikikukasirikia wewe ni sawa na kumkasirikia Magu. Sitakupunguzia chochote ila mimi ndo nitajiongezea nyongo. Nakupenda babu.Samahani kama nimekukwaza mpenzi. Hako kasentensi nimekatohoa toka kwa mheshimiwa sana Ben Mkapa.
BTW umenikasirikia? Niko radhi kukulipa fine in kind...