Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

kaitwa kupewa pongezi na kusajiliwa kamili.ingekuwa inazungumziwa ccm ungeitwa polisi mshitaki basata
 
Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.

Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.

Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.

View attachment 2888072

Written by Mjanja M1

Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
Kwahiyo atakuwa akionesha maungo kwa kiasi kidogo? BASATA hawajawahi kuwa serious
 
Back
Top Bottom