Ni vile nyumbani Tanzania wanasema maiti haisemwi ila lilikuwa limwamba fulani hivi la mission town sana .Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki.
Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
Hakika na mara ya mwisho lilimkosa kosa mwanangu fulani kwenye mission zake pale TAZARA kwenye kakiwanda ka spirit .Halafu ukiongea nalo halikuangalii usoni
Lilikubali kurejesha gharama zote na usisahau kipindi cha mzee majitu ya mfumo huu yalikuwa na kitu yanaita bargaining ,yanatoa mpunga mrefu sijui wanasheria wanafanyaje yanatoka mara unakuta eti limepqngiwa kufagia viunga vya polisi mwez mmoja baada hapo kesi kwisha 😀Amewahi kufungwa miaka ya 1980s. Nyingine ni wakati wa Magufuli alikutwa amenunua nondo za barabara ya Mwendokasi. Alkamatwa akaswekwa ndani kama miezi kadhaa.
Kumbe alirejesha kupitia plea bargainingLilikubali kurejesha gharama zote na usisahau kipindi cha mzee majitu ya mfumo huu yalikuwa na kitu yanaita bargaining ,yanatoa mpunga mrefu sijui wanasheria wanafanyaje yanatoka mara unakuta eti limepqngiwa kufagia viunga vya polisi mwez mmoja baada hapo kesi kwisha 😀
Daah huyo jamaa mafia sana Magu na kelele zote zile yeye anaenda kununua nondo za SGR pana watu wamejikunja..Amewahi kufungwa miaka ya 1980s. Nyingine ni wakati wa Magufuli alikutwa amenunua nondo za barabara ya Mwendokasi. Alkamatwa akaswekwa ndani kama miezi kadhaa.
Ni mwamba haswa alikuwa ,mafile yake ni makubwa ila ni vile alijua kula na mapapa wa mjini ila chenye mwanzo hakikosi mwishoDaah huyo jamaa mafia sana Magu na kelele zote zile yeye anaenda kununua nondo za SGR pana watu wamejikunja..
Napenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapiNi mwamba haswa alikuwa ,mafile yake ni makubwa ila ni vile alijua kula na mapapa wa mjini ila chenye mwanzo hakikosi mwisho
Mifumo kaka ,anza na kidogo kidogoNapenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapi
Zama zimechenji jalibu uoneNapenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapi