Bwashee nilijua tu huwezi kosa uzi kama huuPoleni , sasa bar zake ziwe wazi 24hrs kwa maombelezo
usitamani cha mwenzio ujui kakipataje.Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki.
Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
Ni hapo hapo Steve alipotoa chozi la mara ya kwanza kwa kudai ameambukizwa ngwengwe akiwa na rafiki yake R.I.P Michael kiwete ,baada ya kambi ya siku nne wakimtafuta dada sharifa eti kamuuwa mwamba .Kwenye bar yake ya Mrina Arusha nimetafuna sana mbususu. Shukrani kwa Mungu na kiwanda cha condom kwa ulinzi walionipa. Nakumbuka bei elekezi ilikuwa Tsh 3000 hadi 4000. Ilikuwa Bar pendwa ya Steve Nyerere akija Arusha.
Bado upo sana kaka ni vile mambo yapo kimya ila siku hizi wanakula na walinzi na baadhi ya wahusika wa magodown baada ya kupiga unakuta watu wamepotea mjini hata miezi baada ya hapo kama ujuavyo ombeq magodown yawe ya wabantu jaladal litafuatiliwa hata miaka na miaka .Hivi uwizi wa kwenye magodown bado upo??
Zamani watu wengi walitajirika kwa style hiyo
Ila kwa sasa ukienda kichwa kichwa unakula tu za kichwa
Ova
Hakika na ni hapo kuna kuja kamsemo ka waja eti hakuna mtumishi wa serikali tajiri 😀Bila kutakatisha,kutoboa ni mtihani sana!
Mimi nilipunguza kwenda Mrina baada ya siku 1 niko Njiro mitaa ya uhasibu nikakutana na kahaba niliyekuwa nikimnunua mara nyingi akadai katoka Njiro makaburini kumzika kahaba mwenzao aliyekufa kwa ngwengwe. Nikawa nina hofu sana labda nilishawahi kumpitia.Ni hapo hapo Steve alipotoa chozi la mara ya kwanza kwa kudai ameambukizwa ngwengwe akiwa na rafiki yake R.I.P Michael kiwete ,baada ya kambi ya siku nne wakimtafuta dada sharifa eti kamuuwa mwamba .
Dada yuko bukoba kumuuguza mama yake ,Steve na Michael wako bar anakoiuza kumsaka kwanini kamuuwa Steve vichekesho kweli kweli .
DuhMimi nilipunguza kwenda Mrina baada ya siku 1 niko Njiro mitaa ya uhasibu nikakutana na kahaba niliyekuwa nikimnunua mara nyingi akadai katoka Njiro makaburini kumzika kahaba mwenzao aliyekufa kwa ngwengwe. Nikawa nina hofu sana labda nilishawahi kumpitia.
Fafanua hii sijaielewa!!Nacho kumbuka kuna dili la mzigo wa magendo ulikuwa umepigwa godown mwamba akawa hana pesa za kugomboa jamaa akapata wazo kumwendea mrina alicho ulizwa unauwakika pesa nikikupa utaleta mzigo huo jamaa akapewa pesa na mzigo akapeleka kwa mrina akauchukua pesa halali ngumu sana
Masawe ashakua mzee hata ukimuona hapa na matukio aliyokua anafanya afanani kabisaa jamaa wana roho ngumu sana..Alikuwa ni type ya Alex Massawe aliyepotelea South Africa kwa sasa
Dah ila ule ukanda wa Kaloleni/Picnic sidhani kama kuna MALAIKA..nakumbuka kipindi hicho nafanya issue za Fumigation kwenye hizo lodges...nilioyaona dah..Mimi nilipunguza kwenda Mrina baada ya siku 1 niko Njiro mitaa ya uhasibu nikakutana na kahaba niliyekuwa nikimnunua mara nyingi akadai katoka Njiro makaburini kumzika kahaba mwenzao aliyekufa kwa ngwengwe. Nikawa nina hofu sana labda nilishawahi kumpitia.
anaangalia juu au chini?Halafu ukiongea nalo halikuangalii usoni
Ushawai kukaa jela au polisi vituo vikubwa kama Central,obee,chang'ombe, keko,segerea,......lazima upitie majanga ndio uwe suguNapenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapi