Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Anza na kazi ya upolisiNapenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapi
Anza na kazi ya upolisiNapenda sana kuwa kama yeye cjui naanzia wapi
Kaka huku hatoboi ,labda aanze na udalali wa dini au udalali wa magariAnza na kazi ya upolisi
Alinunua za mwendokasi, enzi za Kikwete na Magufuli alikuwa Waziri alichukua note ila hakuweza kuingia. Alipokuwa Rais tu akavuta mafaili yake mara moja, Mrina akazitapika nondo za BRT.Daah huyo jamaa mafia sana Magu na kelele zote zile yeye anaenda kununua nondo za SGR pana watu wamejikunja..
Ule mtaa mzima unanuka dhambi ya uzinzi.Dah ila ule ukanda wa Kaloleni/Picnic sidhani kama kuna MALAIKA..nakumbuka kipindi hicho nafanya issue za Fumigation kwenye hizo lodges...nilioyaona dah..
Mzee wa Kino kwema? 😀😀 hizo enzi niko bado chalii mdogo... nakumbuka ndo nyakati nimekuja Dar chuo.. bila chuo labda ningekuja Dar kwenye harusi ya binamu yangu mwaka 2014.. au labda ningekuja na dada yangu aliyekuwa anauza ndizi Mabibo kutoka Moshi...Duh
Ova
Jamaa alikuwa hachagui "dili", yeye anaingia popoteAlinunua za mwendokasi, enzi za Kikwete na Magufuli alikuwa Waziri alichukua note ila hakuweza kuingia. Alipokuwa Rais tu akavuta mafaili yake mara moja, Mrina akazitapika nondo za BRT.