TANZIA Mrina, mmiliki wa Mrina Bar za Arusha na Manzese afariki

Daah huyo jamaa mafia sana Magu na kelele zote zile yeye anaenda kununua nondo za SGR pana watu wamejikunja..
Alinunua za mwendokasi, enzi za Kikwete na Magufuli alikuwa Waziri alichukua note ila hakuweza kuingia. Alipokuwa Rais tu akavuta mafaili yake mara moja, Mrina akazitapika nondo za BRT.
 
Alinunua za mwendokasi, enzi za Kikwete na Magufuli alikuwa Waziri alichukua note ila hakuweza kuingia. Alipokuwa Rais tu akavuta mafaili yake mara moja, Mrina akazitapika nondo za BRT.
Jamaa alikuwa hachagui "dili", yeye anaingia popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…