Mrisho Gambo acha Unafiki

Mrisho Gambo acha Unafiki

Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.

Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.

Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.

Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".

Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake

Gambo ameongea ukweli mtupu. Kumbuka hata Magufuli hakumpenda.
 
Gambo asulubiwe na watu wa Arusha kwa muda mwafaka
 
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.

Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.

Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.

Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".

Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake

Kwa kuwa alikuwa anasaka tonge kijana , simtetei ila angefanyaje wakati kwa kipindi kile alikuwa kafichwa mfukoni , Mwendazake akisema kasema nani wa kumpinga hapa Gambo angejitia wazimu kupingana na mkuu angetumbuliwa kwa mapema zaidi,. Mwacheni atubu zaidi.
 
Ukitumbuliwa kwa kusimamia haki na ukweli utalinda heshima yako ya kudumu na wananchi ndio watetezi wako lakini sio huyu Gambo, alimtesa sana Lema katika mikutano yake halafu leo anajitoa ufahamu kisa anawinda uteuzi kuwa fulani baada ya naibu fulani kutumbuliwa hivi karibuni?
 
... Mkuu bado hatujavuka; ndio tunajiandaa kushuka baharini tuombe sana maji yasirudi mahali pake tukiwa katikati. Yarudi jeshi la farao likiwa katikati - tuendelee na maombi!
Nionavyo...tuko katikati ya bahari, Misri naye ameanza kuingia kwa kasi, tuongeze mwendo tumalizie kuvuka ili maji yamalize kazi kwa Farao na jeshi lake
 
Binafsi namsifu Sana Gambo kwa.kuusema.ukweli juu ya utawala wa mtu katili dhalimu diktketa jitu lenye chuki husda jizi liuaji mbinafsi roho mbaya yaani MAGUFULI

Sasa n muda wa yeye kubadilika na kuomba msamaha kwa Yale aliyotenda ama kwa kudhamiria au kutumwa

PIA ASISAHAU KUMWOMBA MWENYEZI MUNGU MAGUFULI AWE KWENYE MOTO WA DARAJA LA JUU KABISA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Gambo amefanya jambo la kijasiri sana. Tunampongeza kwa hatua hii ya kusimama hadharani kuhesabiwa upande wa kutetea haki.

Wale wanaomshambulia kwa kuwa sehemu ya watekelezaji wa uovu huo watambue yeye alikuwa anatekeleza maagizo ya bosi wake kama mtumishi mtiifu. Kwamba angejiuzuru...bado hatujafika huko...ajiuzuru afe njaa...hapana!

Pamoja na kuwa simpendi Gambo kutokana na matendo yake na kauli zake wakati alipokuwa mkuu wa mkoa,michango yake katika bunge inanishawishi kumuunga mkono. Anatimiza wajibu wake wa kibunge sawasawa.
 
Gambo kawasilisha vitu vingi sana vya msingi... Na katumia nafasi yake kama mwakilishi wa wananchi!
Kila siku sie wenye uchungu na nchi hii tunashauri nafasi za ukuu wa wilaya au mikoa iondolewe au ikiendelea kuwepo basi iwe ni kwa ridhaa ya wananchi!
Gambo wa awamu ya 5nni case nzuri sana... Alipokuwa mteule wa Hamnazo Mwendazake alifanya kama alivyoelekezwa na mamlaka ya uteuzi.
Sasa hivi yuko huru anatenda kwa kadri ya mahitaji ya wananchi...!
Tusipoamka na kudai nchi itoke mikononi mwa Rais na wapambe wake irudi kwa wananchi ipo siku tutampata Rais Hamnazo zaidi; tutapangiwa muda wa kula na kulazimishwa kulala!
Na ndipo yatatimia maneno ya JK. Nyerere juu ya ubovu wa katiba yetu na urahisi uliopo kutengeneza madikteta.
Tatizo nchi yangu wengi wanamsikiliza dimondi kuliko wengine wote!

Tujifunze kwa Gambo, Nape, Makamba n.k!
 
Gambo amefanya jambo la kijasiri sana. Tunampongeza kwa hatua hii ya kusimama hadharani kuhesabiwa upande wa kutetea haki.

Wale wanaomshambulia kwa kuwa sehemu ya watekelezaji wa uovu huo watambue yeye alikuwa anatekeleza maagizo ya bosi wake kama mtumishi mtiifu. Kwamba angejiuzuru...bado hatujafika huko...ajiuzuru afe njaa...hapana!

Pamoja na kuwa simpendi Gambo kutokana na matendo yake na kauli zake wakati alipokuwa mkuu wa mkoa,michango yake katika bunge inanishawishi kumuunga mkono. Anatimiza wajibu wake wa kibunge sawasawa.
Anayekufurahisha huna budi kumpenda japo kwa tahadhari
 
Don_Mbowe_on_Instagram:_“15_February_2019..%0A.%0AVitu_vya_kuogopa_Sana_Hapa_Duniani_ni_Mungu_...jpg
 
Gambo yuko sahihi ,Kwenye Utawala wa Magufuli hakuna aliyeweza kuongea chochote akawa salama.ulitegemea afanye nn mkuu?
 
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.

Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.

Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.

Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".

Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake

Kuanza upya sio ujinga mzee km Gambo anakiri hadharani ni afadhali kuliko angekaa kimya sisi km taifa tutajua tulipojikwaa ili tusirudi huko tena
 
Sina tatizo kabisa na hilo, tatizo langu ni kwamba, kwanini anajivua accountability/responsibility? Yaani anaongea like hakuwa wala hakuwahi kuwa sehemu ya huo mfumo
 
Back
Top Bottom