PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata hivyo YEYE ndie aliye wapandikiza watu kama Gambo ambao wanafanya mzaha na maisha ya watu
 
Ccm hoyee, samia na ng'ombe wake hoyeeπŸ˜‚
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Yaani nimecheka kwa nguvu Hadi watu wamenishangaa .

Jamani hiyo itakuwa ni editing tu, Siyo kweli.

Uhuru umepitiliza ,Aliyefanya editing ya hii picha akamatwe haraka
 
Hiyo zege ndio awamu ya kwanza,achana na hiyo miti. Mwenyewe anacheka, wananchi kwenye picha wanaona masihala haya
Wewe ndio umexhambua vizuri Mkuu.
 
Kila zama na kitabu chake. Karibu atatemwa na mfumo. Bashite amemkalia kooni. Pima upepo nani anaungwa mkono na system.
 
Vikubwa vya kumpiga Tundu Lissu risasi,kua na PhD feki,nakumuua Ben saanane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…