Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gambo ni mmoja wa watu, wasiokuwa na akili,, chadema wamuue kwa lipi hasa,?Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.
Chanzo: Global TV
My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Ndivyo ilivyo !! Law of the Universe ‘ what goes around comes around ‘Mlipanda hizo chuki sasa zimerudi kuwararua wenyewe kwa wenyewe
Na kwa upuuzi wake huu mimi nasema aliwe tu hakuna jinsi nyingineGambo ni mmoja wa watu, wasiokuwa na akili,, chadema wamuue kwa lipi hasa,?
Gambo anajua Lema anarudi kutetea jimbo, na hilo ndo linamtia wazimu kweri kweri[emoji53]
Wapi amesema wanaomtafuta ni wa Chadema ??Gambo ni mmoja wa watu, wasiokuwa na akili,, chadema wamuue kwa lipi hasa,?
Gambo anajua Lema anarudi kutetea jimbo, na hilo ndo linamtia wazimu kweri kweri😕
Ndiyo ukome.Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.
Chanzo: Global TV
My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Muosha huoshwaMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.
Chanzo: Global TV
My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Masikini Gambo wameshamharibu tayariAtulie tu kama wamebeba na lotion ni utaratib tu wa kuepuka friction!!
anatafuta huruma tu kwa wana arusha kwa sababu anajua si chaguo lao. mbunge wa ccm form rc, serikali na vyombo vyote vya dola ni ccm kisha utoe madai/shutuma hizo. Huo ni uongo uliopitilizaMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.
Chanzo: Global TV
My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Anachoogopa sana siyo hizo risasi hata ila ni lotion na condom wanavyomiliki hao wanaomtafuta..Kijana Gumbo, usiogope, hata hapo getini wakifyatua risasi ni mwendo wa Kinjikitile. Zitageuka maji. Kuwa tu na imani thabiti.
Mwache arukeruke tu lakini mwisho wa siku atatoa mzigo tu.Anachoogopa sana siyo hizo risasi hata ila ni lotion na condom wanavyomiliki hao wanaomtafuta..