Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.

Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!

Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.

Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.

Chanzo: Global TV

My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Gambo ni mmoja wa watu, wasiokuwa na akili,, chadema wamuue kwa lipi hasa,?
Gambo anajua Lema anarudi kutetea jimbo, na hilo ndo linamtia wazimu kweri kweri😕
 
Wapi amesema wanaomtafuta ni wa Chadema ??
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.

Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!

Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.

Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.

Chanzo: Global TV

My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?
Ndiyo ukome.
 
Muosha huoshwa
 
anatafuta huruma tu kwa wana arusha kwa sababu anajua si chaguo lao. mbunge wa ccm form rc, serikali na vyombo vyote vya dola ni ccm kisha utoe madai/shutuma hizo. Huo ni uongo uliopitiliza
 
Kijana Gumbo, usiogope, hata hapo getini wakifyatua risasi ni mwendo wa Kinjikitile. Zitageuka maji. Kuwa tu na imani thabiti.
 
Back
Top Bottom