feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliuliza asubuhi, hivi hili jambo halipo kwenye Ilani ya Chama? Kumbe lipo bhana, Hongera sana sana serikali ya CCM
Hakuna mpinzani mwenye akili finyu kiasi hicho, hayo ni ya ccm maana hata kupatwa kwa jua mlisema amesababisha yeye.Afadhali jamaa kawawahi maana wangedai ni juhudi za Mbunge wa jimbo bwn. Lema.
Na hii ndo sababu wanakuwa Kasuku.Hata wateule wake wameijua akili ya bosi wao
Kwa hiyo ukiandika kwa ugoko ndio unajionaa, ha ha ha.Hapana, coz you have dropped that thing.... View attachment 1032614
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani uongo?
Kama sio kwa serikali ya awamu ya tano, hakika msingeona ile ajali ya Ifakara iliyoua watumishi 9.
Sio uwongo, hata ile ajali ya kivuko Ukerewe tungeionea wapi kama isingewekwa kwenye ilani ya ccm.Sasa kwani uongo?
Hivi kwa akili yako kiduchu mpaka leo umeshikilia sound hiyo ya 1.5 trln ?.amka mjomba ushughulishe kichwa,za kuambiwa changanya na zako,utaolewa
Kama kweli kasema hivyo basi atakuwa mshida, kwa kuwa mvua ya aina hiyo nilishaiona wakati mwingi hata kabla ya Benjamin William Mkapa kuongoza jahazi letu.